Mlio na wake mlioanaje?

mwanga mweusi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
288
Reaction score
473
Hivi mlioaje maana mimi sielewi eti kuna woga mkubwa nahisi nikioa najiona kama nitakosa uhuru nikioa yani naona nikioa atakua kama hawa wake za watu ninavyo waona mh.

Au atanifanya kama yule alivyo nifanya .

Ila nilivyo siwez kuoa mwanamke mzuri sana maana wanamendewa sana na nimashetani kasoro mapembe. Hata mbaya tabia ni tabia tu.

Basi kama vp nitafute katoto japo sitamani iwe ivyo nataka familia moja sio moja yupo kule..

Kuoa kunahitaji moyo na ujasiri jaman natamani nioe niwena familia japo sina hata dem. maana sijui namtafutia nan sasa najenga sababu gani kama sina hata mtoto.

Natafuta rafiki wa kike tutafundishana mengi awe kwenye 18 kwa 21 mm 24
 
Kuoa ni mpaka pale tu nafsi yako itapojihisi kweli unahitaji kuwa na mwenza!! Usioe kufuata mkumbo au kuiga, utajutia na kuharibu hiyo ndoa utayoifunga!!

Wewe bado kijana, endelea kula maisha mpaka pale utapoona haya maswali yako hayana msingi tena!! Hapo utaheshimu ndoa na kuifurahia!!
 
miaka 24 bado mvulana wewe hujawa mwanaume bado endelea tu kutafuta mademu kuoa wewe badoo
 
Mpaka ukiacha kueka "jamani jamani" kwenye uandishi wako nd utajua watu wanaonaje

Ila umejikanyaga sana inaonesha ni jinsi gani hujui ni jinsi gani kweli watu wanapata wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…