Mlio mkubwa usiku huu kama bomu

Mlio mkubwa usiku huu kama bomu

Roho Mbaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
777
Reaction score
677
Nipo maeneo ya Kijitonyama, nimesikia mlio mkubwa kama radi majira 3: 54 na umeme umekatika ghafla na kurudi muda huo huo.
 
Ni vizuri mkaanza kuuliza tatizo ni nini kabla hamjataja neno 'bomu'. Watanzania tumekuwaje, kila tusikiapo kitu kinapasuka tunakiita bomu? Je, transforma ulishawahi kuisikia ikilipuka siku moja? Habari kama hizi zaweza kuogofya watu, tuzichujeni kabla hatujazitoa!
 
Hapo nadhan ni taarifa tu coz c vyema kama kakaa kimya na kama amesikia.
 
Ni vizuri mkaanza kuuliza tatizo ni nini kabla hamjataja neno 'bomu'. Watanzania tumekuwaje, kila tusikiapo kitu kinapasuka tunakiita bomu? Je, transforma ulishawahi kuisikia ikilipuka siku moja? Habari kama hizi zaweza kuogofya watu, tuzichujeni kabla hatujazitoa!

namsaidia mtoa mada tittle yake amesema mlio KAMA BOMU ila hakusema ni bomu
 
Weeee, kasema mlio kama, hajasema bomu wewe hata darasani inaonekana ulikua mzito kuelewa
 
Back
Top Bottom