Mlio-apply ABG (African Barrick Gold)

Mlio-apply ABG (African Barrick Gold)

mbuyula

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
389
Reaction score
68
Mlio-apply ABG, tuwe tunapeana updates kuhusu kuita interview.
 
Habari wana jf mlioappy african barrick goldmine
Wameanza kuita watu kwa usaili, nimepigiwa cm muda huu
 
Sijui nafasi unazoziongelea, maana wenzio tayari tuna contracts tunasubiria siku ya kuanza kazi.
 
Habari wana jf mlioappy african barrick goldmine
Wameanza kuita watu kwa usaili, nimepigiwa cm muda huu

Hongera kwa first stage, wamesema interview lini..? hope your talking about the one that the deadline was on 14th February,2014
:flypig:
 
No deadline ilikuwa tar 25 jan na interview tumepiga leo,jamaa wako smart sn katika zoezi zima la usaili, angalizo jamani mkiitwa kwenye interview kama huwezi udhuria muwe mnatoa taarifa,tumejikuta tupo wachache sn tofauti na shortlist
 
kuna writen mkuu au mlipiga oral tu?
 
Wadau hapo kati february kulitangazwa nafasi mbalimbali za Supply Chain, kuna mwenye updates???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom