ni msanii wa sanaa za mapigano wa tanzania, mwandishi wa vitabu vya vita, usalama na afya, pia ni mkufunzi wa ngoo self defense nani muanzilishi wa mfumo huo wa ngoo - self defense system, alizaliwa ( 21/09/1985 ) katika mkoa wa kigoma wilaya ya kigoma mjini, kata ya busaidi kitongoji cha ujiji, karibu kabisa na ziwa tanganyika. Ni mtoto wa sita kuzaliwa kati ya wato kumi na mbili walio zaliwa na wazazi wake wa wawili yani baba na mama ambao ni, aziza yahaya ibrahim huyu ni mama yake mzazi na rajabu tofiki mlosi huyu ni baba yake mzazi, ndugu zake wa kuzaliwa ni, tofiki rajabu, salima rajabu, mwatumu rajabu, msemwa rajabu,yahaya rajabu, alafu ndio akazaliwa yeye issa rajabu / mlinzi shujaa, kisrha akazaliwa haruna rajabu, zaituni rajabu, muamadi rajabu,zuhura rajabu, saidi ali na hassani malilo hawa wa wili wa mwisho walichangia mama ila baba zao ni tofauti.