Mlinda mlango maarufu afumaniwa mke wa beki wake

Yaani unasubiria mke analiwa ndio unaenda kufumania!
 
Aisee!!! alikamatwa tu au kuna mengine alifanyiwa?
 
Mke wake Malaya tu kwanini alimkubali jamaa yake?! Ukiona hivyo dili namkeo jamaa hana kosa kwasababu mkeo anatoka nyumbani anaenda hadi guest halafu wewe unaenda kufanya vurugu ni kujidhalilisha tuu, mkeo hakukubali acha udhaifu katika kufanya mapenzi na uache ubahili. TIMIZA WAJIBU WAKO!.
 
Hivi sheria si imeshainiwa?huu udhalilishaji
 
Huenda hana nia ya kumrudia tena huyo mzazi mwenzie na amechoshwa na tabia zake kiasi kuwa ameamua kumdhalilisha tu.

then angetoa picha za demu sio za mwanaume mwenzake

ni ufala tu, hauna jina jingine
 
Mhhhh, kweli ucelebrity unatafutwa kwa fujo kwelikweli! Kama angekua baba yangu sijui ningejisikiaje!

Nimesikia maumivu moyoni kama kakangu!! So bad! Tena kwa familia nzima tena zote
 
Aisee yaani jamaa kasubiri mkewe kagongwa ndiyo anafumania,alitaka apate ushahidi!
 
Huyo Mke Ndo Mwenye Akili.Kafaidi Utamu Wa Pande Zote Mbili.Nampa LIKE!
 
Mi nashangaa sana.umemfuma mke wako then una deal na mwanaume uliyemkuta nae inakuwaje?mi nadhani wa kudeal ni mwanandoa wako.aibu sana hii picha mtandaoni kila mtu kajionea.
 
Weka na picha ya huyo mwanamke.
Aliye chapiwa atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume.
 
Sio bilionea....!? Huyo kipa au beki..manake jamaa zangu kwa kutengeneza mabilionea hawajambo.
 
kaazi kwelikweli, kwa hiyo kipa kamzunguka beki wake kamtongoza mkewe....hizi timu za kibongo gizi, mpira utachezeka kweli hapa? cute b njoo uone timu ya mtaani kwenu kwa nini haiendi mbele!
 
Last edited by a moderator:
ningependa pia kuona picha mwanamke aliyefumaniwa ili nifanye komparizoni
 
noma kweli kwa wote wawili.........aliyepiga na aliyepigiwa
 

mku hiyo avatar yako ndiyo sura yako halisi ?, uwe mkweli tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…