View attachment 251240
Mlinda mlango mkongwe Aldina Hashimu ambaye amechezea AFC Arusha,Mtibwa,Mount Meru Warriors na Nyota ya Arusha akipata kibano baada ya kufumaniwa akila vyombo vya mke wa aliyewahi kuwa beki wa kulia Emmanuel Mwambinje huko Guest Kasoli makao mapya
Aibu hii ya kumla mke wa mchezaji mwenzake na beki wa kulia imemletelezea kula kichapo cha haja na kupata manundu mwilini
View attachment 251241
ujinga mkubwa huu... unapigiwa demu halafu unarusha picha??
Na yeye aliwe tu
Hapo sasa! Hata mimi ambae nilikua sijui nimejua sasa kwamba jamaa alichapiwa!
wamechuja wanataka kurudi upwa kuwa macelebrity
Mhhhh, kweli ucelebrity unatafutwa kwa fujo kwelikweli! Kama angekua baba yangu sijui ningejisikiaje!