Laptop yangu ni kama pete na kidole ,mpaka nimeota sugu begani kwa kuibeba,popote nilipo,niendapo ninayo kwa kwapa,asvali ninyang'anywe kwa nguvu kuliko kuibiwaWana lalamika nini,kwa ninin waache laptop kwenye gari ambapo inaonekana?
Ukishangaa ya Musa,,,,,,,,,,,,,,,,
Walinivunjia kadirisha kagogo ka nyuma ya gari wakakomba laptop
Amini usiamini kwa msaada wa walinzi sikuhiyo hiyo nikabidi niinunue tena laptop yangu mwenyewe, ile ile ilio ibiwa ikiwa haija futwa hata kitu kimoja
Hii ndio bongo zaidi ya uijuavyo
Kuna Dr rutashamirwa naye alipaki merceds yake aliporudi akakuta hamna dirisha limebomolewa na iPad yake haipo sambamba na MacBook iliyokuwemo garini.MLIMANI CITY 'SI SALAMA?'
Na Mwandishi Wetu
hivi karibuni Prof. Kulikoyela Kahigi alivunjiwa kioo cha dirisha na kompyta yake ndogo kuibiwa. Naye Prof. Joseph Mbelle wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amewahi kuibiwa kompyuta yake ndogo kwenye maegesho hayohayo.
Jumatatu ofisa mmoja alisema " Nilipaki gari langu tarehe 21 Febr. mwaka huu, nikaondoka na kuingia sokoni, nilikuta wamebomoa," 27
Laptop yangu ni kama pete na kidole ,mpaka nimeota sugu begani kwa kuibeba,popote nilipo,niendapo ninayo kwa kwapa,asvali ninyang'anywe kwa nguvu kuliko kuibiwa[/QUOTE...Mkuu utafiti wa hospitali ya Muhimbili inaonyesha kati ya wanaume wasiokuwa na uwezo wa kutungisha mimba wanawake wao ni wale wanaopendelea kubeba laptop mara kwa mara...be careful!!...
Chonde chonde King Kong 111 tutajie jina la msanii huyo hata kama haiwezekani tutajie hata wimbo ulioimba, ukishindwa shusha hata chourasHao wezi si wale wa mtandao wa yule msanii wa bongo flavor?