Mlemavu afika kileleni mwa Mlima Kilimanjaro

Makini

Senior Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
154
Reaction score
59
Dada mmoja, Chaeli Mycroft, ambaye amepooza sehemu ya mwili wake, ameweza kufika kileleni mwa Mlima Kilimanjaro, akiwa na wenzake saba kutoka Afrika Kusini.

Mycroft alianza maandalizi ya kupanda Mlima huo miaka mitatu iliyopita, mipango iliyofuatiwa na mazoezi ya kutosha kumuwezesha kufanikisha malengo yake hayo. Alianza kupanda Mlima Kilimanjaro Agosti 29.

Mycroft pia ana kampeni ya kuhamasisha kuwezesha watoto wenye ulemavu iitwayo Chaeli Campaign (hope in motion)


============

 
Mm nilifikiri kilele nachokijua mie ...kumbe cha mlima Kilimanjaro..hiyo kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…