yale majamaa utu yalishashindwa kuurudisha,inabidi serikali iweke mahakama nyingi na mahabusu wa kutosha halafu wawe wanatembeewa kichapo cha uhakika kidogo watapata utu.
Mkoa wa Mara ni zaidi ya uturutumbi!
Hawajatoka polini bado hawa watu!
Kama ilivyo ada katika jamii mkwe ni mtu anae heshimika sana kwa vile ndie mzaa chema. Mkazi wa kijiji cha Genkuru wilayani Tarime Marwa George ameuwa kwa kuchomwa na mkuki na baba mkwe wake John Mhabe (68) kwenye paji la uso katika kijiji cha Kitawasi anako ishi baba mkwe huyo baada ya George kwenda kudai ng'ombe 10 alizo toa mahari ya kuoa kwenye nyumba ya mzee huyo hii inatokana na George kaada kukimbiwa na mkewe baada ya miaka 3 ya ndoa.
Fidel80 nafikiri jamaa kasahau kiendacho kwa mganga hakirudi
basi baba mkwe angedai na mabusu aliyopigwa mtoto wake na nanihino zotejamaa alizopata kwa yule mwanamke na then ipimwe kwa gharama za ng'ombe jamaa anaweza akajikuta hana kitu
na yeye angelipa gharama za kumgegeda mtt wa watu miaka yote
ingawa adhabu aliyotoa baba mkwe ni kubwa haikustahili!
na mautamu aliyokua anapewa?walikubaliana ataishi nae kwa shida na raha mpaka kifo kiwatenganishe sasa binti wa mzee kakimbia ndoa ndani ya miaka 3 si bora arudishe angalau nusu
Huyu mme naye mnoko! Miaka mitatu ya ndoa naamini imemaliza value ya ng'ombe wake 10! Bamkwe japo kafanya unyama lakini bado angeweza kumkatalia kurudisha hiyo mahali! Kwani binti yake si a me-depreciate huko ndoani?
na mautamu aliyokua anapewa?
kashindwana na mwenzake kimpango wake,
kiendacho kwa mganga jamani!