Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, tunataka Ubungo mpyaa!!!

luirhu

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
800
412
Mhe. Mkuu wa Wilaya mpya ya ubungo unakazi kubwa pamoja na wananchi wako katika kuijenga Wilaya mpya!
Katika Wilaya zote tano za mkoa wa Dsm nadhani Wilaya ya ubungo inaonekana kuwa nyuma kimaendeleo ukilinganisha na Wilaya zingine!!!

1. Fursa zilizopo ktk Wilaya bado hazijatangazwa zikafahamika, mfano fursa Za uwekezaji viwanda, shule, hoteli n.k

2. Mpangilio wa mji ktk makao makuu ya Wilaya iliyopo kibamba, tunahitaji kuona eneo la kibamba na Kiluvya yanapangiliwa na kuleta muonekeno wa makao makuu ya Wilaya.
 
Back
Top Bottom