Mkuu wa Wilaya ya Njombe amsweka ndani Mwenyekiti wa mtaa

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,292
Katika muendelezo unaoashiria matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya wakuu wa wilaya nchini, mkuu wa Wilaya ya Njombe mama Msafiria amemuweka ndani mwenyekiti wa mtaa wa Buguruni iliyo katika wilaya hiyo baada ya Mabishano yaliyotokea baina yao.

Mabishano hayo yalitokea baada ya mwenyekiti wa mtaa kuhoji uhalali wa mkuu wa wilaya kushinikiza, Mwenyekiti huyo ang'olewe katika kiti hicho wakati bado kuna kesi mahakamani. Kuwekwa ndani kwa Mwenyekiti huyo kuliambatana na kunaswa kibao.
Siku hizi imekuwa hali ya kawaida ya Wakuu wa wilaya kutumia mabavu pale wanaposhindwa hoja au kubanwa.

Kimsingi hakuna tishio lolote la amani na usalama lililosababishwa na Mwenyekiti huyo wa mtaa aliyewekwa ndani masaa 48

Ni muhimi kwa Wizara yenye dhamana Na TAMISEMI ikawa makini na viongozi wa aina hii, wanaonea watu nawanasababisha hasira ya wananchi dhidi ya serikali yao. Hili tukio la mama msafiri lichunguzwe na hatua stahiki dhidi yake zichukuliwe.
Ibara ya Tisa ya katiba inakataza aina yoyote ya uonevu katika nchi hii, kwa hiyo ni matumaini yangu haki itatendeka!

Chini nimeambatanisha Sauti ya Majibizano yaliyopelekea Mwenyekiti huyo kuwekwa ndani!
 
Attachments

  • AUD-20170303-WA0007.aac
    5.1 MB · Views: 35
Katika muendelezo unaoashiria matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya wakuu wa wilaya nchini, mkuu wa Wilaya ya Njombe mama Msafiriamemuweka ndani mwenyekiti wataa wa Buguruni iliyo katika wilaya hiyo baada ya Mabishano yaliyotokea katika kikao.
Mabishano hayo yalitokea baada ya mwenyekiti wa mtaa kuhoji uhalali wa mkuu wa wilaya kushinikiza, Mwenyekiti huyo ang'olewe katika kiti hicho wakati bado kuna kesi mahakamani. Kuwekwa ndani kwa Mwenyekiti huyo kuliambatana na kunaswa kibao.
Siku hizi imekuwa hali ya kawaida ya Wakuu wa wilaya kutumia mabavu palewanaposhindwa hoja.
Ni muhimi kwa Wizara yenye dhamana Na TAMISEMI ikawa makini na viongozi wa aina hii, wanaonea watu nawanasababisha hasira ya wananchi dhidi ya serikali yao. Hili tukio la mama msafiri lichunguzwe na hatua stahiki dhidi yake zichukuliwe.
Ibara ya Tisa ya katiba inakataza aina yoyote ya uonevu katika nchi hii, kwa hiyo ni matumaini yangu haki itatendeka!

Chini nimeambatanisha Sauti ya Majibizano yaliyopelekea Mwenyekiti huyo kuwekwa ndani!

TAMISEMI ipo chini ya RAIS aliyemteua Mama Msafiri,unadhani aliyemteua anaweza kumuajibisha??

JPM alijua kabisa wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wana haiba kama yake hivyo akaona ni heri kuiondoa TAMISEMI iliyokuwa chini ya PM na kuirudisha kwa Ofisi ya Rais,hivyo watanzania tuwe wapole tu,hakuna kitakachofanyika.
 
Kuna haja ya Hawa wakuu wa mikoa na wilaya kupewa semina za mara kwa mara juu ya mamlaka yao, na juu ya utawala bora, otherwise wataumiza watu.
 
Katika muendelezo unaoashiria matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya wakuu wa wilaya nchini, mkuu wa Wilaya ya Njombe mama Msafiria amemuweka ndani mwenyekiti wa mtaa wa Buguruni iliyo katika wilaya hiyo baada ya Mabishano yaliyotokea baina yao.

Mabishano hayo yalitokea baada ya mwenyekiti wa mtaa kuhoji uhalali wa mkuu wa wilaya kushinikiza, Mwenyekiti huyo ang'olewe katika kiti hicho wakati bado kuna kesi mahakamani. Kuwekwa ndani kwa Mwenyekiti huyo kuliambatana na kunaswa kibao.
Siku hizi imekuwa hali ya kawaida ya Wakuu wa wilaya kutumia mabavu pale wanaposhindwa hoja au kubanwa.

Kimsingi hakuna tishio lolote la amani na usalama lililosababishwa na Mwenyekiti huyo wa mtaa aliyewekwa ndani masaa 48

Ni muhimi kwa Wizara yenye dhamana Na TAMISEMI ikawa makini na viongozi wa aina hii, wanaonea watu nawanasababisha hasira ya wananchi dhidi ya serikali yao. Hili tukio la mama msafiri lichunguzwe na hatua stahiki dhidi yake zichukuliwe.
Ibara ya Tisa ya katiba inakataza aina yoyote ya uonevu katika nchi hii, kwa hiyo ni matumaini yangu haki itatendeka!

Chini nimeambatanisha Sauti ya Majibizano yaliyopelekea Mwenyekiti huyo kuwekwa ndani!
Mkuu alisha sema nendeni mkawa weke ndani, alafu wewe unasema TAMISEMI, TAMISEMI na mkuu nani mwenye sauti?
 
Huyu Lucy Msafiri ni kati ya wabunge waliopigwa chini kwenye uchaguzi uliopita kutoka mkoani Kagera ni mtu asiye jiamini kabisa,unampigaje makofi mtu mzima mwenzako?
 
mwenyekiti ana akili nyingi kuliko mkuu wa wilaya anajua sheria anajua majukumu yake dc kichwa cha kufugia nywele hizi ndio position wana pewa kwa kuvua chupi
 
hakya mama hata mimi ndugu yangu liwalo naliwe
Mimi huwa nawashangaa watu wasio thamini utu wao..! KIBAO CHA UTU UZIMA aisei uvumilivu wa namna hii mwenyezi Mungu alininyima atakula ngumi moja sitajali ni mwanamke nitampiga ngumi kubwa zaidi ile ambayo ningempiga mwanaume..! Ushenzi huuuh..!
 
Haya mambo ya kudhalilishana hayana budi yakome, huu ni unyanyasaji huu. Huyu mkuu wa mkoa achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kufanya maamuzi ya jazba
 
Asee mara kibao kikitua shavuni au kichwani,lazima tugawane majengo ya serikali maana ntaishije nikijua kuna mwanamke kanipiga kibao nikanywea?Huyu angeenda simulia kwa bosi wake na kazi angeikataa mwenyewe
 
Huyu Lucy Msafiri ni kati ya wabunge waliopigwa chini kwenye uchaguzi uliopita kutoka mkoani Kagera ni mtu asiye jiamini kabisa,unampigaje makofi mtu mzima mwenzako?

Sijasikia hata tusi likisemwa na huyo Mwenyekiti wa Kijiji,ni aibu ameona sasa cha kusingizia hapo ni kutukanwa.Hali hii ikiendelea sijui kama Taifa tutafika wapi.Unamchukia mtu sababu ni mpinzani.
 
Back
Top Bottom