Mata Mtanzania
Member
- Jun 7, 2013
- 63
- 7
.... Wanainchi Wa Huko Wamelala Sana, Angechezea Kichapo Tu. Kwani Shiling Ngapi?
Matokeo ya uchaguzi kitongoji / kijiji hicho yalikuwaje?hakika wananchi walimuogopa kwa sababu ya ukuu wake huyu jamaa kwa bada ya kuanza kutoa matkeo kuna mtendaj mmoja alitaka kuchakachua vijana wakazingira ofisi yote wakaanza kuishambulia kwa mawe