Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akiwekewa mikono ya baraka na mwadhama kadinali Pengo

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
2,420
1,720
Kichwa cha habari cha husika,
mkuu mpya wa mkoa wa Daressalaam akiwekewa mikono ya baraka na mwadhama kadinal Polycarp Pengo punde baada ya kuteuliwa na rais JP Magufuli!
kila la kheri!
 

Attachments

  • 1458821415044.jpg
    1458821415044.jpg
    45.7 KB · Views: 53
Hivi Mwadhama Pengo anaweza kuzuia wakatoliki kutounga mkono UKUTA wakati anaunga mkono kauli za Makonda? Labda! Tukumbuke wakati wa mijadala ya katiba alitofautiana na tamko la maaskofu wenzake hadharani na ndipo ugomvi wake na Gwajima ukaibuka. Hata kama Ukuta si tiba lakini pia kuizuia si jibu.
Viongozi wa dini wajihadhari sana na wakae mbali na wana siasa, wasikae mbali na siasa.
 
Back
Top Bottom