Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi Iringa watoa amri lazima kwa watumishi kujitokeza kumpongeza Magufuli

Tatizo la viongozi wa awamu huwa hawaweki akiba ya maneno. Watumishi wa serikali waliambiwa wasipoteze muda bali wafanye kazi sasa hili agizo lina maana gani au ndiyo mihemko
Kwani kupongeza juhudi za kishujaa za boss wao ni kupoteza muda?
 
Ndio maana nasema jukwaa hili limekuzidi uwezo!JPM hawezi kuwa anachagua akosolewe hivi au vile!Ikifikia hapo ndio tafsiri hasa ya udikteta!Kwamba mtu mwenye mamlaka ndio anaamua ukosoaji huu ni dhambi na huu si dhambi!
Kuweka record sawa,ni wapi katika kumbukumbu zako JPM aliwahi sema anahitaji watu wa kumkosoa????
Angalia speech yake wakati wa uzinduzi wa ndege mpya ya Bombardier pale airport Terminal one. Ingia YouTube uangalie.

His Excellency anasema mitandao ya kijamii itumike katika kupeana ushauri juu ya nini kifanyike na sio kutukana nchi yenu wenyewe kama vile yakitokea machafuko mnapo pengine pa kwenda.
 
Angalia speech yake wakati wa uzinduzi wa ndege mpya ya Bombardier pale airport Terminal 2. Ingia YouTube uangalie.

His Excellency anasema mitandao ya kijamii itumike katika kupeana ushauri juu ya nini kifanyike na sio kutukana nchi yenu wenyewe kama vile yakitokea machafuko mnapo pengine pa kwenda.
Huo ndio ufinyu wa uelewa wenyewe!Kwani ni lazima kila mtu ashauri?Kuna watu wao wapo kukosoa,yaani vyovyote vile watakosoa tu!Ndio haki yao kikatiba,waache waenjoy uhuru wao unaotambuliwa na katiba!Wape haki ya kukosoa,wewe una haki ya kupuuza au kuchukua wanachokosoa!
 
Mwisho 2020 tutaambiwa lazima kupigia kura na kila Mkuu wa idara ahakikishe waliochini yake wanampigia kura
 
WATUMISHI NENDENI KUTETEA UGALI WENU NAAMINI MLISHA LISHWA UNGA WA RUTUBA
 
Yeye ni kiongozi tu wa Tanzania, Tanzania siyo mali yake binafsi kama wewe unamkubali siyo lazima na mimi nimkubali na vile vile mimi kama simkubali siyo lazima na wewe usimkubali wakati unaona anafaa
Shauri zako. Time will tell it all.
 
Huo ndio ufinyu wa uelewa wenyewe!Kwani ni lazima kila mtu ashauri?Kuna watu wao wapo kukosoa,yaani vyovyote vile watakosoa tu!Ndio haki yao kikatiba,waache waenjoy uhuru wao unaotambuliwa na katiba!Wape haki ya kukosoa,wewe una haki ya kupuuza au kuchukua wanachokosoa!
Endeleeni tu kukosoa ila ikitokea ndimi zenu zikatereza mkaanza kutukana cha moto mtakipata sio masihara.
 
Back
Top Bottom