Hivi kwenye ndoa kuna uzoefu?Askofu mkuu wa jimbo katoliki Dodoma Edwin Ngonyani anawalika watu wote hasa vijana katika misa takatifu ambayo pia mkuu wa majeshi ya Tanzania Gen Venans Mabeyo atakuwa mtoa neno na aakofu mwalikwa Beatus Kinyaiya watatoa somo...]
Acha wivu na walioa wanawake wazuri.Hivi kwenye ndoa kuna uzoefu?
Mimi najua kila mtu anabeba zigo lake mwenyewe....
Mabeyo ni muhuni wa kura za wananchi hana jipyaUmeona sasa hii nchi ilipofikia
Mimi ni mkatoliki halisi siyumbishwi na hawa lambalamba hanalolote jipya kwa wananchiHuna adabu kijana ungekuwa karibu ningekunasa vibao
Jamani mbona marehemu rais wa burundi alikuwa mcheza mpira na mapenzi yake hakuyafucha.Umeona sasa hii nchi ilipofikia
CDF world-class ni Mwamunyange.Tunasubilia madini ya CDF waviwango
Umelewa bia za kupewa weekend weweCDF world-class ni Mwamunyange.
Huyu yeye kazi yake ni kupeleka jeshi kupora Korosho na kuua Raia
Umelewa bia za kupewa weekend weweCDF world-class ni Mwamunyange.
Huyu yeye kazi yake ni kupeleka jeshi kupora Korosho na kuua Raia
Umeona sasa hii nchi ilipofikia
General ajikite kulinda mipaka, ufundaji awaachie makasisi!Askofu mkuu wa jimbo katoliki Dodoma Edwin Ngonyani anawalika watu wote hasa vijana katika misa takatifu ambayo pia mkuu wa majeshi ya Tanzania Gen Venans Mabeyo atakuwa mtoa neno na aakofu mwalikwa Beatus Kinyaiya watatoa somo...