Mkuu wa KKKT akemea 'umimi' wa watawala

Robert James Masunga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
414
395
amesema umefika wakati sasa viongozi wakubali kushaurika. ametolea mfano wa DRC ambapo viongozi wa dini walijaribu kuingilia mgogoro wa kisiasa kati ya watawala na wapinzani kupata suluhu lakini walipuuzwa hawakusikiliza.

[HASHTAG]#upendoFM[/HASHTAG]
 
Hivi jina lake ni nani mkuu?
 
FB_IMG_1492172214875.jpg
 
amesema umefika wakati sasa viongozi wakubali kushaurika. ametolea mfano wa DRC ambapo viongozi wa dini walijaribu kuingilia mgogoro wa kisiasa kati ya watawala na wapinzani kupata suluhu lakini walipuuzwa hawakusikiliza.

[HASHTAG]#upendoFM[/HASHTAG]
Ila pia kawaambia chapeni kazi na anamuunga mkono JPM kwa kuhimiza uchapaji kazi badala ya watu kutegemea madili,akasema wapiga madili ndo wanajaza makanisa
 
mimi nimesikia redioni mkuu. ila kama ulikuwepo ibadani funguka tu kuongeza nyama kwenye bandiko.
 
Kamanda Askofu Shoo, huyu hana tofauti na Gwajima, ni mnafiki na mchumia tumbo tu, amekula sana mgao wa Lowasa 2014/2015. Kama vipi achukue kadi tu.
 
amesema umefika wakati sasa viongozi wakubali kushaurika. ametolea mfano wa DRC ambapo viongozi wa dini walijaribu kuingilia mgogoro wa kisiasa kati ya watawala na wapinzani kupata suluhu lakini walipuuzwa hawakusikiliza.

[HASHTAG]#upendoFM[/HASHTAG]
Mkuu wa KKKT ana usongombwingo mgombea wake aliewaahidi kuwa 2015 ilikuwa zamu yao.
Mbona alishindwa kumkemea mgombea wake alietangaza 2015,ni zamu ya KKKT
 
Back
Top Bottom