LENJENTZ
Member
- May 21, 2013
- 69
- 10
Salama Wakuu
Bado tunamtafuta ndugu mwenye uzoefu na maswala ya uongozi wa vyuo,sio Vyuo vikuu ni chuo cha Diploma na Certificates,ndugu mwenye uzoefu na elimu yakutosha kwa nafasi hii tafadhali atume CV zake
Pia tunaendelea kupokea CV kwa ajili ya nafasi nyingine za kazi,tafadhali tumeni CV kwenye email hizi mbili hapa
recruitment@lenjentz.com au info@lenjnetz.com