TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,330
- 8,421
Wakuu nataka nishushe chuma cha 2009 watoto wa majini wanalita tako la Nyani
Huku Wajapan wakiliita Toyota harrier
Hili ndinga thamani yake ipo vipi nitakapo pishana na wauza poda wenye V8 naweza kuwabishia kiaina au wataniona muuza Duka?
Hii gari kwasasa bei gani nataka kuichukua showroms kwa sasa bei gani?
Sent using Samsung Galaxy Note7