Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,237
- 6,610
Hicho kipande kinaliwa na ugali wiki nzima bila kwisha, tena kuna wakati jirani anaweza kuja kwako kuazima nae akalie ugali kisha akimaliza anakurudishia hivyo hivyo.Kwamba mpare ukimpa ugali na hichi kipande cha picha anashiba kabisa. [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kashaenda kutafuta Ugali Ulipo afanye yake na hii kitu