Mkuu mpya wa jeshi la somalia

Mh! ataweza kweli? Kwa uzoefu upi na umri huo! Let us wait and see!
 
Mh! ataweza kweli? Kwa uzoefu upi na umri huo! Let us wait and see!
Jeshi la somalia Ni vijana wadogo wadogo tu halina watu wazima.Alshababu pia inaundwa na vijana wadogo wadogo nadhani Raisi kaona ampe kijana mdogo mwenzao watakayeelewana lugha na wakienda kutwangana na vijana wenzao wa Alshabab kitaeleweka.Vita somalia Ni ya vijana kwa vijana.Ukiona Mzee Ni wa jeshi la Kenya au la kimataifa
 
hahahahah
 
Upo sahihi mkuu wataelewana vizuri
 
Mwenye CV yake tafadhali [emoji849][emoji849]
 
ana ecperience ya kufanya mussion ngapi?? Na kufanikiwa?
Kaongoza operation gani kwa mafanikio??
 
Vipi hicho cheo mbona ni kama LT General na vyeo vya kijeshi ni international lank?
 
Upo sahihi mkuu wataelewana vizuri
Hata Tanzania polisi wengi kwa Sasa Ni vijana wadogo sababu wahalifu wengi Ni vijana kunzia panya road,wakabaji no hivyo hai polisi vijana ndio wanawawezea akimwambia Kijana mwenzie mvuta bangi anayekimbia akimwambia oya oya simama akikataa unajua kitakachofuata Ni kumtandika risasi matakoni.Mtu mzima aweza hurumia mvuta bangi kuwa ohh kitoto hiki kitukutu tu msikipige risasi.Vijana kwa vijana wanawezana.Polisi wengi Tanzania vijana tayari kupambana na vijana wenzao wahalifu
 
Hao polisi vijana ni wazuri kwa kupambana na bavicha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…