MKUTANO WA RAIS

MKUTANO WA RAIS

Atawaambia Nini wakati hela za kuajiri Hana? Unadhani hajui kua kachemka? Utafanyaje mamiradi yote kwa pamoja? Kununua ndege cash alidhani Ni sifa, kua mhaya tu Ni tatizo..hatothubutu kukubali, sio kwamba hapendwi kuwapa ajira..atawalipa nini? Unless mkubali kujitolea bila sentano! Sasa si Bora msiajiriwe tu!
 
Ni mhaya yule mzee?
 
Tunaombaa mkutano Kati ya mheshimiwaa rais na wasio na ajira Kama alivofanya na wafanyabiasharaa

Siku zingine muwe mnajifunza Adabu kwani kwa Mtu mwenye Busara tu hawezi Kundika neno Rais kwa herufi ndogo kama ulivyofanya hivi Wewe. Hata neno Mungu nalo ukiandika kwa herufi ndogo utaonekana ni mwenye matatizo makubwa Kichwani. Jifunzeni Kanuni Kuu za Kiuandishi kwani yawezekana pia ikawa ni Chanzo kimojawapo cha Wewe ( wengineo wengi ) Kukosa hizo Ajira mnazozililia hapa.

Kwa Kukusaidia tu ni kwamba hakuna Rais duniani anayetoa Ajira na wala hakuna Serikali yoyote duniani ambayo inaajiri Kundi kubwa la Watu isipokuwa Jukumu kubwa la Serikali nyingi duniani ni kuweka Sera nzuri na Mifumo mema ambayo itawezesha nchi husika kuwa na Viwanda vya Kutosha, Uwekezaji mkubwa na kuwa na Elimu bora yenye Kuakisi Vitendo, Utafiti na Ujasiriamali ili Watu waweze Kujiajiri na siyo Kusoma ili waje kuja Kuajiriwa na Rais au Serikali husika.
 
Back
Top Bottom