Nani mwenyekiti na Katibu,
Mbona mods hawana taarifa.
Agenda ya mkutano ni nini?
Nimeipenda, ila mkutano umekuwa kama vile wa dharura; kwa nini ajenda zisiwekwe walau siku moja ikapita then mkutano ukafuatia? Nasema hivyo ili watu wajiandae kuepuka hali ya kutoa kauli zisizo na uthibitisho, na ni kawaida hata maofisini watu huwa wanaenda kikaoni wakiwa walau na idea ya ajenda, otherwise kiwe kikao cha dharura!
Oooh Mchungaji, unaonekana unasimamia sana haki za jinsia ile . . . . Ngoja niwafuate kwenye jukwaa fulani niwaalike . . .
Kina somo la gender balance and equality in Christianity! Ni muhimu wawepo