Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,586
- 287,249
Utuombee Mungu tuwasaidie wafanyabiasharaGen Z
Wafanyabiashara wa wapi?! 🐼Utuombee Mungu tuwasaidie wafanyabiashara
Sio mbadili gia angani tena.....Utuombee Mungu tuwasaidie wafanyabiashara
Kenya ndo Kuna wanaume!!! Nyie endeleeni tu kugonga Ruzuku!! Kila mwaka ni kuruka tu na chopaUkihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe.
Katika Mkutano huo Mbowe amesisitiza kwamba muda wa kuing'oa ccm Madarakani ni sasa na wala hakutakuwa na Dk za Nyongeza, Hii ni kwasababu dhiki za nchi hii hazikuletwa na Mungu, zimeletwa na CCM, na ifike mahali tuseme basi.
View attachment 3026815View attachment 3026816View attachment 3026817
Sababu ya kuongozwa na majangiliNchi hii bado masikini sana kwakwel
Makabila yote ni hopeless kabisaBado Wagogo na Wanyamwezi wanatuangusha..hawaelewi kinachoendelea katika nchi.
May be.. ila bado tuna safar ndefu sanaSababu ya kuongozwa na majangili
Lazima tubadilikeMay be.. ila bado tuna safar ndefu sana
Wandengeleko na wazaramo ha ha ha ha bado kazi tunayo.Makabila yote ni hopeless kabisa
Bado hawana mikakati kwa watu wa vijini. Vijiji vya vingi bado ni CCM kwani wameridhika kuwa maisha ya kijijini ni maisha ya kimaskini. Shule inaweza isifaulishe hata miaka kumi wala wenyewe wala hawaumii tena ndiyo wanafurahi kwa kupunguziwa gharama za kumsomesha mtoto secondary. Watanzania Bado sana.Ukihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe.
Katika Mkutano huo Mbowe amesisitiza kwamba muda wa kuing'oa ccm Madarakani ni sasa na wala hakutakuwa na Dk za Nyongeza, Hii ni kwasababu dhiki za nchi hii hazikuletwa na Mungu, zimeletwa na CCM, na ifike mahali tuseme basi.
View attachment 3026815View attachment 3026816View attachment 3026817
Mtaji upi mpya?CHADEMA imepata mtaji.😌