X Xhizo de incredible Senior Member Joined Nov 14, 2018 Posts 112 Reaction score 176 Mar 20, 2023 #1 Naomba kuuliza wataalamu hivi mwaka huu kikao cha bodi ya wahandishi(ERB) wanakaa lini kutoa approve ya kusajili graduate engineers?
Naomba kuuliza wataalamu hivi mwaka huu kikao cha bodi ya wahandishi(ERB) wanakaa lini kutoa approve ya kusajili graduate engineers?
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,772 Reaction score 35,770 Mar 20, 2023 #2 Xhizo de incredible said: Naomba kuuliza wataalamu hivi mwaka huu kikao cha bodi ya wahandishi(ERB) wanakaa lini kutoa approve ya kusajili graduate engineers? Click to expand... Huwa wana utaratibu wa kukaa kila kota. Mara ya mwisho walikaa mwaka jana december. Mwaka huu matarajia mwezi huu au wa nne majina mapya watatoa.
Xhizo de incredible said: Naomba kuuliza wataalamu hivi mwaka huu kikao cha bodi ya wahandishi(ERB) wanakaa lini kutoa approve ya kusajili graduate engineers? Click to expand... Huwa wana utaratibu wa kukaa kila kota. Mara ya mwisho walikaa mwaka jana december. Mwaka huu matarajia mwezi huu au wa nne majina mapya watatoa.
X Xhizo de incredible Senior Member Joined Nov 14, 2018 Posts 112 Reaction score 176 Mar 20, 2023 Thread starter #3 Upepo wa Pesa said: Huwa wana utaratibu wa kukaa kila kota. Mara ya mwisho walikaa mwaka jana december. Mwaka huu matarajia mwezi huu au wa nne majina mapya watatoa. Click to expand... Sawa nimekuelewa
Upepo wa Pesa said: Huwa wana utaratibu wa kukaa kila kota. Mara ya mwisho walikaa mwaka jana december. Mwaka huu matarajia mwezi huu au wa nne majina mapya watatoa. Click to expand... Sawa nimekuelewa
Msonjo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2019 Posts 1,378 Reaction score 2,401 Mar 21, 2023 #4 Hivi ma geologist huwa wanasajiliwa katika hii bodi au nawao wanabodi yao?
Mwakapesa II JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 569 Reaction score 927 Jun 8, 2023 #5 mkuu hope your geologist bodi ya wajiolojia nchini hatuna ila itaanzizwa hivi karibuni na ipo kwenye mchakato wa mwisho refe last year TGS meeting. Msonjo said: Hivi ma geologist huwa wanasajiliwa katika hii bodi au nawao wanabodi yao? Click to expand...
mkuu hope your geologist bodi ya wajiolojia nchini hatuna ila itaanzizwa hivi karibuni na ipo kwenye mchakato wa mwisho refe last year TGS meeting. Msonjo said: Hivi ma geologist huwa wanasajiliwa katika hii bodi au nawao wanabodi yao? Click to expand...
Mkweche II JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 4,456 Reaction score 6,340 Jun 8, 2023 #6 daaaah kua registered inachukua process sio mchezo bado nakomaa kuandika report.
Msonjo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2019 Posts 1,378 Reaction score 2,401 Jun 8, 2023 #7 hossey said: mkuu hope your geologist bodi ya wajiolojia nchini hatuna ila itaanzizwa hivi karibuni na ipo kwenye mchakato wa mwisho refe last year TGS meeting. Click to expand... Ahsante kwa taarifa, maana wengine wanajisemea tu kuna kujisajili halafu ukiwauliza unajisajili wapi hawana majibu. Itakuwa vema ikiwepo hii bodi ya wajiolojia maana nao wanazidi kuwa wengi.
hossey said: mkuu hope your geologist bodi ya wajiolojia nchini hatuna ila itaanzizwa hivi karibuni na ipo kwenye mchakato wa mwisho refe last year TGS meeting. Click to expand... Ahsante kwa taarifa, maana wengine wanajisemea tu kuna kujisajili halafu ukiwauliza unajisajili wapi hawana majibu. Itakuwa vema ikiwepo hii bodi ya wajiolojia maana nao wanazidi kuwa wengi.
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,772 Reaction score 35,770 Jun 9, 2023 #8 Msonjo said: Hivi ma geologist huwa wanasajiliwa katika hii bodi au nawao wanabodi yao? Click to expand... Kama ulisoma engineering geology utasajiliwa na erb ila kama ulisoma geology ambayo sio engineering hautasajiliwa na erb.
Msonjo said: Hivi ma geologist huwa wanasajiliwa katika hii bodi au nawao wanabodi yao? Click to expand... Kama ulisoma engineering geology utasajiliwa na erb ila kama ulisoma geology ambayo sio engineering hautasajiliwa na erb.