chollemadulu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2013 Posts 259 Reaction score 79 Jun 13, 2015 #1 Wana jamvi buheri nilikua njiani kuelekea kahama nimesikia tangazo la chadema kesho kunamkutano mwenye taarifa kamili jamani atujuze nani anakuja kiongozi nawasilisha jamani
Wana jamvi buheri nilikua njiani kuelekea kahama nimesikia tangazo la chadema kesho kunamkutano mwenye taarifa kamili jamani atujuze nani anakuja kiongozi nawasilisha jamani
N nkongu ndasu JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 22,532 Reaction score 6,628 Jun 13, 2015 #2 mkuu nilidhani una taarifa rasmi...
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,051 Reaction score 285,651 Jun 13, 2015 #3 chollemadulu said: Wana jamvi buheri nilikua njiani kuelekea kahama nimesikia tangazo la chadema kesho kunamkutano mwenye taarifa kamili jamani atujuze nani anakuja kiongozi nawasilisha jamani Click to expand... unaambiwa uwe na MASIKIO KAMA ANTENNA , ulitakiwa kusikiliza vizuri sana mkuu .
chollemadulu said: Wana jamvi buheri nilikua njiani kuelekea kahama nimesikia tangazo la chadema kesho kunamkutano mwenye taarifa kamili jamani atujuze nani anakuja kiongozi nawasilisha jamani Click to expand... unaambiwa uwe na MASIKIO KAMA ANTENNA , ulitakiwa kusikiliza vizuri sana mkuu .
D Dr Emma John JF-Expert Member Joined May 9, 2013 Posts 820 Reaction score 196 Jun 14, 2015 #5 Kwani mkutano mpaka aje mtu fulani toka sehemu nyingine!?. Hata viongozi wa hapa wanatosha saaana!!! Anyway, kuna ziara ya Katibu mkuu Bavicha nilisikia majuzi huenda akawa ni yeye. Kama si yeye basi atakuwa ni NKMZ Salum Mwalim.
Kwani mkutano mpaka aje mtu fulani toka sehemu nyingine!?. Hata viongozi wa hapa wanatosha saaana!!! Anyway, kuna ziara ya Katibu mkuu Bavicha nilisikia majuzi huenda akawa ni yeye. Kama si yeye basi atakuwa ni NKMZ Salum Mwalim.