Mkutano wa CHADEMA Misigiri-Iramba

Polisi wanakumbusha kuwa muda umebaki dakika sita. Hivyo amalizie na kuendana na muda.
 
Anasema CCM hawalali na wamejaribu kila njia kukatisha ziara yake lakini wameshindwa.
 
Zitto na kundi lake wapo bize kwenye mtandao wandeleza movement yao MP7 wengine wapo field wanapamabana.
 
Jana usiku viongozi wa CCM kata ya Ulemo hawakulala. Walitembea nyumba hadi nyumba kuhamasisha watu wasiende kwenye mkutano wa leo.

Kwa kusaidiwa na Polisi, wamejaribu kuwatia hofu wakazi wa hapa.

Polisi walikuwa wengi ndani ya uniform na askari kanzu. Mmoja alikuwa ndani ya suti akiwa na miwani yenye headphone, sijajua ni kitu gani.

Gari za Polisi zilikuwa mbili, ni ile ya kutoka Wilayani na ya Kituo cha Polisi Misigiri. Walikuwa zaidi ya ishirini na silaha za moto na mabomu ya machozi.
 
Mahudhurio yalikuwaje lakini?
 
Mkumbo kitila ajibu hoja za kukihujumu chadema kwanza iramba hatudanganyiki na ndumulakuwili huyu
 

MBI MBWANE UWE! SOGELA SANA!!! CDM sisi tunasonga mbele, itafika kipindi Polisi pia watakuwa upande wa CDM manake CCM imewanyonya mno na hakuna dalili kuwa watawahurumia.
 
kitila wewe si wa kaskazini chadema huiwezi

peleka madudu ya ccm wewe,umetumwa na fa.la wako mwigulu anaeeneza chuki za vijana,aliyesababisha kifo ndago,ataisoma na nguvu ya umma.mwenye kulamba wake za watu,
 
jaman kinampanda wanakuja lini twawasubiria mje,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…