Nimesoma maandiko ya kinafiki ya vijana wa ZZK. Hawa ni wachumia tumbo. Tuache waongee, Dr. Kitila Mkumbo anaendeleza kazi ya kumng'oa Mwigulu Nchemba 2015.
Eti CDM ni ya kaskazini, sasa hivi sera ni Twanga kote kote, Sugu anaitwa Rais Mbeya, Msigwa Iringa, hata Zitto Kabwe alitaka kujaribu kutmia watu wa Kaskazini kuchafua hali ya hewa, mambo yamebadirika sana siku hizi, TWANGA kote kote!