Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
Mkutano wa hadhara uliofanywa jana katika kijiji cha bumangi wilaya ya butiama ulikuwa unaongozwa na mbunge wa musoma mjini mhe vincent nyerere,mwenyekiti wa chadema mkoa wa mara mhe kayere pamoja na makamanda waandimizi kutoka musoma.Wakazi hao wa kijiji cha butiama kwa sasa wamegoma kuwa jiwe la msingi la ccm,wamesema ccm ya mwalimu nyerere haikuwa inamtukana Jaji Warioba,Mzee Butiku wala Salim bali ilijikita zaidi kujenga umoja na kuwaletea wananchi maendeleo hivyo wameamua kuikaribisha chadema katika kijiji hicho na wamesema kwa sasa chadema ndiyo ina matumaini ya kulijenga taifa kama ilivyokuwa ccm ya mwalimu nyerere na si hii ya sasa.Team chadema twende kazi
Wananchi wako wapi?
Nasubiri kuona kama Lissu ana ubavu wa kuporomosha matusi dhidi ya Baba wa Taifa hapo hapo Butiama! Hao wanaume hawachelewi "kumtema".
Wako wengi sana wala hatujawaleta kwa Malori kama Nyie
Hahaha hahaha magamba chama cha malori
cdm mnasubiri watu wawarushie mawe ndo mjue wamepoteza imani na nyie?
Bingwa wa kuporomosha matusi ni selukamba na mbunge wa mtelaNasubiri kuona kama Lissu ana ubavu wa kuporomosha matusi dhidi ya Baba wa Taifa hapo hapo Butiama! Hao wanaume hawachelewi "kumtema".
Nasubiri kuona kama Lissu ana ubavu wa kuporomosha matusi dhidi ya Baba wa Taifa hapo hapo Butiama! Hao wanaume hawachelewi "kumtema".
cdm mnasubiri watu wawarushie mawe ndo mjue wamepoteza imani na nyie?
ccm bila kusomba watu kwa fuso mkutano utakuw na viongozi wao tu, tena kuna baadhi ya viongozi wao pia hawaendi kwa madai ccm hakuna jipya namfahamu mmojawapo
lisu alitukana matusi yepi mkuu? Ebu yaseme hapa..Nasubiri kuona kama Lissu ana ubavu wa kuporomosha matusi dhidi ya Baba wa Taifa hapo hapo Butiama! Hao wanaume hawachelewi "kumtema".
lisu alitukana matusi yepi mkuu? Ebu yaseme hapa..