Mkutano wa ACT Karatu

Ayatollah Zuberi Kabwe hayupo. Zitto alishatoa maelekezo yeye tu ndio atatakiwa kufanya mikutano mpaka ngazi ya kijiji
 
Hayupo na hao unao waona hapo wamefanya kupewa pesa waje kwenye mkutano. Vijana wa toyo ni buku 3 hivyo vijana wengi wamegoma pesa ndogo hii ni kwa mujibu wa Dereva wa toyo
 
Endapo tumefikia kumwabia mtumishi wa Mungu Gwajima aoneshe mapato na matumizi ya Kanisa lake basi ikiwa tutaenenda katika haki na kweli yatupasa kumwambia ZZK aoneshe mapato na matumizi ya ACT
 
Nimepita hapo kwa kifupi ni aibu ya karine. Kama vipu tupia picha. Watu wamewashitukia wanajua lengo lenu ni lipi
 
Endapo tumefikia kumwabia mtumishi wa Mungu Gwajima aoneshe mapato na matumizi ya Kanisa lake basi ikiwa tutaenenda katika haki na kweli yatupasa kumwambia ZZK aoneshe mapato na matumizi ya ACT
nyie mlionesha?
 
Lengo letu kubwa ni kuleta mabadiliko ya kweli ndani ya karatu.karibn sna kwa maendeleo yenu.
 
Endapo tumefikia kumwabia mtumishi wa Mungu Gwajima aoneshe mapato na matumizi ya Kanisa lake basi ikiwa tutaenenda katika haki na kweli yatupasa kumwambia ZZK aoneshe mapato na matumizi ya ACT

mkuu unaishi dunia ya wapi zitto alishalifanya hilo siku nyingi labda mwambie mbowe atuonyeshe mapato yake.
 
Endapo tumefikia kumwabia mtumishi wa Mungu Gwajima aoneshe mapato na matumizi ya Kanisa lake basi ikiwa tutaenenda katika haki na kweli yatupasa kumwambia ZZK aoneshe mapato na matumizi ya ACT

Alafu wasivyo na aibu wanamtaka awape maelezo ya mapato naatumizi kana kwamba wanampa ruzuku yakuendesha kanisa lake,wanaacha kudai vitu vyamsingi wanakimbizana navitu vya hovyo hovyo tu
 
hicho kikao cha harusi nani anaolewa hapo sijaelewa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…