Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,368
Dah!Yaani mie akishakua m~ccm hata uzuri wake hauniingii na mbwembwe zake zote haziniingii kwa motema wangu.
Kama ni hivi hatuchepuki,,....[emoji47] [emoji47] .....
Nyomi ya mkuu wa wilaya au?.....[emoji47] [emoji47] .....
Hahaha!!Sema Jogoo hawiki acha kusingizia CCM, nenda Hospitalini!
Sema Jogoo hawiki acha kusingizia CCM, nenda Hospitalini!
Sibishanagi na watoto wa kwenye mikesha ya mwenge,labda niwaambie...Hahaha!!
Kibendara yule
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sema Jogoo hawiki acha kusingizia CCM, nenda Hospitalini!
HahahahaaaaSema Jogoo hawiki acha kusingizia CCM, nenda Hospitalini!