Mkutano mkubwa wa CHADEMA kesho Bukoba mjini

Mkutano mkubwa wa CHADEMA kesho Bukoba mjini

Joined
Mar 20, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Kutakuepo na mkutano mkubwa wa hadhara ktk viwanja vya mkigusha bkb mjini!
Agenda:
Ufisadi ndani ya halmshauri ya bkb
 
Peoplesss...!!
Kilichobaki ni kuvuna wanachama...
M4C...
 
Wahaya kweli kwa masifa ndio wenyewe,lakini wanawafaagilia sana magamba wakati mkoa wao ni wa 16 kwa umaskini,si waelewi kabisa,ebu dogo janja nenda kawahabarishe.
 
Tatizo hata picha hamleti...mna wivu kweli...yaani Dr. Slaa karibu anamaliza ziara kanda ya ziwa hakuna hata picha moja...vipi majembe mbona tunaangushana???

Bukoba kesho tunataka picha...siyo blaa blaaa tu halafu siku inapita...kama hamjui ku- upload mseme....
 
Wahaya kweli kwa masifa ndio wenyewe,lakini wanawafaagilia sana magamba wakati mkoa wao ni wa 16 kwa umaskini,si waelewi kabisa,ebu dogo janja nenda kawahabarishe.

mkuu naomba link inayoonesha umaskini wa mikoa
 
hawa wahaya hawana hata mbunge mmoja wa upinzani!masifa mengi lakini mkoa umechoka hoi!

U mvivu wa kufikiri sana mkuu,Waulize wana CDM kama kweli Kagera hawana mbunge wao tena ana kesi mahakamani.. Ama vipi ufuatilie historia ya upinzani huko mkoani bila shaka hautamkosa Ndibalema mzee Tegambwage.
 
DUh!
Bora umweleze ukweli kwani still hajarealize that upinzani ni mkubwa,
people like Rwakatare yupo pale,JEMBE LA VIJANA LILE.
 
Hii imekaa poa 'ufisadi ndani ya bukoba' sasa ni kuwa specific na maeneo husika kuwazindua wananchi........BIG UP
 
Wahaya hebu amkeni, hata watu wa Biharamulo wanawashinda!! kah!!
 
tunasikia meya bw. amani anataka kuvunja soko kuu na kuwakosesha wakazi na vijana ajira. chadema ebu litolee msimamo suala hili, watu wanataka ubunge kwa gharama za wenzao kwa kisingizio cha kuboresha mji.
 
Wahaya kweli kwa masifa ndio wenyewe,lakini wanawafaagilia sana magamba wakati mkoa wao ni wa 16 kwa umaskini,si waelewi kabisa,ebu dogo janja nenda kawahabarishe.

Watu wa Kagera wanahistoria ya kuwa wapinzani; ameshakuwepo mbunge Mtungirei(CUF) na Tegabwage (NCCR). Katika uchaguzi wa 2010 mgombea wa Chadema jimbo la Karagwe walimchakachua. Watu wa Kagera sio wajinga hata hao wabunge wa Magamba walio wachagua, ndio pengine wabunge bora kwa vigezo vyote katika bunge la sasa; wasomi na wenye misimamo huru! 3 kati ya 6 ni maziri.Yupo John Pombe Magufuli, Profesa Anna Tibaijuka na Hashim Kagasheki. Umaskini wa Kagera ni umaskini kama wa mikoa mingine umesababishwa na CCM.

Watu wenye hekima wanafikiri kabla ya kusema!
 
hawa wahaya hawana hata mbunge mmoja wa upinzani!masifa mengi lakini mkoa umechoka hoi!

Angalia avatar yako kisha sema nani mwenye misifa. We kwenu wapi tukupe hongera zako kwa kuwa na wabunge wengi wa upinzani? Fuatilia mbunge wa Biharamulo ni chama gani? Wewe endelea kunywa viroba sio unakurupuka tu. We mkoa wako ni upi? Tanzania nimikoa yote ni mali ya Watanzania. Unadhani mkoa ulioko juu ni upi?
 
hawa wahaya hawana hata mbunge mmoja wa upinzani!masifa mengi lakini mkoa umechoka hoi!

uko sahihi mkuu, sio siri tumechoka mbaya, wanamageuzi mtusamehe sana, hawa mb***wa wa ccm wakisaidiwa na kagasheki walinunua shahada zetu pia wakatuchakachua, naamini vuguvugu la m4c mtatuona na kututaka, just bare with us, mtupe muda kidogo.
Usia kwa wahaya tutakao udhuria ni shurti tukitie nguvu chama cha chadema kwa ajili kuchukua nchi apo 2015 ivyo tujiunge na chadema tuwe wanachama hai kwa kununua kwa wingi kadi za uanachama, walio ndani ya ccm turudishe kadi zao hawa mafisadi pia majizi na tuchukue kadi za chadema.
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees power...
 
Back
Top Bottom