calvin jacob cj New Member Joined May 24, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Jul 5, 2011 #1 sasa wameanza kuweka chuma kwenye gari zinazopaki vibaya for 24 hours,mchana kwenye mistari ya ukingo wa barabara haionekani je usiku, isitoshe road light zote hazifanyi kazi na mgao juu,faini elfu hamsini,je mnatutakia mema kwel..?
sasa wameanza kuweka chuma kwenye gari zinazopaki vibaya for 24 hours,mchana kwenye mistari ya ukingo wa barabara haionekani je usiku, isitoshe road light zote hazifanyi kazi na mgao juu,faini elfu hamsini,je mnatutakia mema kwel..?