Tafuta nafasi upite soko la mboga mboga Mirongo.
Wakinamama hawa waliowengi wametengeneza fursa sasa soko lina pokea wageni wengi na miundo mbinu sio rafiki
Bidhaa fresh za mboga mboga zinapatikana.
Ukiweza tu kutengeneza miundo mbinu nakuhakikishia utatengeneza ajiri kibao.