pinda jee kuhusu mafisadi tuwape kipondo
pinda jee kuhusu mafisadi tuwape kipondo
Achana na Pinda, sasa hivi ni confirmed PM MPUMBAVU kuliko wote chini ya jua. Mahakama ya sheria imethibitisha hayo leo hii huko Dodoma.pinda jee kuhusu mafisadi tuwape kipondo
Achana na Pinda, sasa hivi ni confirmed PM MPUMBAVU kuliko wote chini ya jua. Mahakama ya sheria imethibitisha hayo leo hii huko Dodoma.
Hu ni ujinga ulioje kuwwka rehani kazi yako kwa shilingi 20,000,000. Huyu anastahili kupigwa na mkewe.Toka jikoni, TEO wa halmashauri ya mji wa Tunduma AIDANI MWANSHIGA akubali kuweka rehani kazi yake baada ya mhasibu wake ARTHUR KAFANABO kuchukua rushwa toka kampuni ya VIDOBA ya mkazi wa dsm kiasi cha sh. milioni kumi kama deposit ya kumpa zabuni ya ushuru wa usafi wa mazingira kwa magari yanayo ingia na kutoka nchini ktk boda ya TUNDUMA baada ya kukabidhiwa zabuni ataongezwa miloni kumi tena na jumla yake kuwa milioni 20,000,000.
ofisi ya mji wa Tunduma hapakaliki baada ya mzabuni wa kwanza na wapya walio timiza vigezo kutishia kuwaburuza mahakamani na kupinga uteuzi wa mzabuni huyo huku wakazi wa Tunduma wakitega masikio kila kona ya mji juu ya kitakacho jiri kwa nguli hao wazoefu wa rushwa miaka yote katika kuteua wazabuni mbalimbali.
nitaendelea kuwajuza kinacho jili
nawasilisha
sugu kase m..... hajakosea
sugu kase m..... hajakosea
Kwani ni lazima tenda mshinde watu wa Tunduma?
Mimi sioni kosa la huyo Mkurugenzi MWANSHINGA na Mhasibu wake kwanihakuna ushahidi km kapokea rushwa na POLISI na TAKUKURU wamejaa hapo mlipo
Hbu acheni kazi ziendelee maana siku hizi kila kitu ni upinzani tu
Ukikosa huku unakuwa mpinzani wa Tender, timizeni Masharti na madiwani wapo km VIDOBA atavurunda atatolewa kwani huwa ni kwa muda wa majaribio na lazima atangulize hela kabla ya kuanza kazi ili azrejeshe alizozitanguliza
Inawezekana wewe ni mmoja ya watu waliokosa zabuni kwa kutokuwa na sifa...Na baada ya kukosa umeamua tu kuwachafua wenzio kwa kisingizio cha rushwa....mkuu, kuchukuwa rrushwa na kupokea rushwa siyo kosa kwa uelewa wako ?. kuhusu polisi na takukuru ni kesi ngapi zinazo wahusu mafisadi zilizo fikishwa mahakamani ?. wenye uelewa finyu mtuu akisema ukweli humwita mpinzani . nahisi ulikurupuka kupositi hukusoma na kuelewa kuhusu masharti, vigezo walisha timiza
Toka jikoni, TEO wa halmashauri ya mji wa Tunduma AIDANI MWANSHIGA akubali kuweka rehani kazi yake baada ya mhasibu wake ARTHUR KAFANABO kuchukua rushwa toka kampuni ya VIDOBA ya mkazi wa dsm kiasi cha sh. milioni kumi kama deposit ya kumpa zabuni ya ushuru wa usafi wa mazingira kwa magari yanayo ingia na kutoka nchini ktk boda ya TUNDUMA baada ya kukabidhiwa zabuni ataongezwa miloni kumi tena na jumla yake kuwa milioni 20,000,000.
ofisi ya mji wa Tunduma hapakaliki baada ya mzabuni wa kwanza na wapya walio timiza vigezo kutishia kuwaburuza mahakamani na kupinga uteuzi wa mzabuni huyo huku wakazi wa Tunduma wakitega masikio kila kona ya mji juu ya kitakacho jiri kwa nguli hao wazoefu wa rushwa miaka yote katika kuteua wazabuni mbalimbali.
nitaendelea kuwajuza kinacho jili
nawasilisha
mkuu, kuchukuwa rushwa na kupokea rushwa siyo kosa kwa uelewa wako ?. kuhusu polisi na takukuru ni kesi ngapi zinazo wahusu mafisadi zilizo fikishwa mahakamani ?. wenye uelewa finyu mtuu akisema ukweli humwita mpinzani . nahisi ulikurupuka kupositi hukusoma na kuelewa kuhusu masharti, vigezo walisha timiza