Mkungu mali ya nani?

du hapo patamu maana ili kuufikia mkungu lazima upite kwenye geti la jirani...na jirani hamna mahusiano mazuri!!
 
Hii ishu ina afadhali....
Mshaona mche pasheni unatambaa sehemu kubwa sana.....
 
Aliyepanda na ukiiva anakata mgomba kazi kwisha.
 
Kupanda ni pande mimi kula ule wew..utakuta jirani compaund yake kasakafia kabisa,eti ndiz anataka tugawane...sema hapo siku ya kuukata kwa aibu lazima uache channel kadhaa kwa jirani.
 
du hapo patamu maana ili kuufikia mkungu lazima upite kwenye geti la jirani...na jirani hamna mahusiano mazuri!!

na ukipanda kwenye ukuta utaitwa mwizi hapo ni kuacha ngawa wale tu
 
Kupanda ni pande mimi kula ule wew..utakuta jirani compaund yake kasakafia kabisa,eti ndiz anataka tugawane...sema hapo siku ya kuukata kwa aibu lazima uache channel kadhaa kwa jirani.

wala siavhe ukut ni 20,000 nimpe nusu amna nitamununulia sukari ya brazili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…