Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,773
- 3,878
unabii huu ungeandika kipindi kileeeeeeKuna kipindi niliwahigi ku pretend Mimi ni mganga wa kienyeji. Hakuna kitu kilicho kuwa kina niuma kama kuwaambia watu Mimi mganga halafu hawabishi yani. Wanakubali na wanakuwa na amani kabisa kwamba Mimi mganga. Dah kimoyomoyo nilikuwa naumia sana. I was like " hawa jamaa wameona nini kwangu mpaka wawe na amani ndani yao kwamba Mimi mganga?"
Ndicho ninacho kiona kwa Bwana Mdogo Ali Hapi. Mwisho wa siku he will become what he pretend to be.
Aiseeunabii huu ungeandika kipindi kileeeeee
Pole kwa stress mkuuTakataka tu
una uhakika gani kama huo ndio uhalisia waoKwahyo kuuishi uhalisia ni ku-pretend?
Mawazo ya kijinga sana
Kwa hiyo ulikuwa na mazaga zaga yote ya uganga: tunguri, manyoya ya jogoo, ngozi ya fisi, pembe za tandale, nyembe za kupiga watu chale, na mavi ya tembo?Kuna kipindi niliwahigi ku pretend Mimi ni mganga wa kienyeji. Hakuna kitu kilicho kuwa kina niuma kama kuwaambia watu Mimi mganga halafu hawabishi yani. Wanakubali na wanakuwa na amani kabisa kwamba Mimi mganga. Dah kimoyomoyo nilikuwa naumia sana. I was like " hawa jamaa wameona nini kwangu mpaka wawe na amani ndani yao kwamba Mimi mganga?"
Ndicho ninacho kiona kwa Bwana Mdogo Ali Hapi. Mwisho wa siku he will become what he pretend to be.
Hapo kwenye ukulima naona amecheza vyema kalata yake vyema kabisaKuna kipindi niliwahigi ku pretend Mimi ni mganga wa kienyeji. Hakuna kitu kilicho kuwa kina niuma kama kuwaambia watu Mimi mganga halafu hawabishi yani. Wanakubali na wanakuwa na amani kabisa kwamba Mimi mganga. Dah kimoyomoyo nilikuwa naumia sana. I was like " hawa jamaa wameona nini kwangu mpaka wawe na amani ndani yao kwamba Mimi mganga?"
Ndicho ninacho kiona kwa Bwana Mdogo Ali Hapi. Mwisho wa siku he will become what he pretend to be.
Yupo uko kihensa iringa..ndio maish yake, na vibustani vyake..una uhakika gani kama huo ndio uhalisia wao
Okay goodYupo uko kihensa iringa..ndio maish yake, na vibustani vyake..
Hii ndio maana ya thread. Kwa vichwa ngumu.. maana kuna watu vichwa ngumu. Tunamuhtaji huyu bwana kwenye medani za siasa huko kwngine ni achievements tu binafsi.Anakaa nyuma nyuma sana ilitakiwa kipindi hiki ndio apige uchawa hasa hadi mama amkumbuke
Ulikuwa kwenye nafasi nzuri ambapo miezi 6 tu ilikuwa inatosha kubadilisha maisha yake.Ana pretend kua mkulima? Ukulima ni ulemavu?