Mkumbata electrical installation & electrical goods supply.

mkumbatie

Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
75
Reaction score
8
Mkumbata electrical installation & electrical goods supply tunahusika na ufanyaji kazi za wayaringi nyumba za kawaida kuanzia chumba kimoja , maghorofa, magodown n.k.

pia tunafunga mashine za umeme za aina zote, tunafunga solar, tunatandika bomba za umeme kwenye maghorofa kabla ya kumwaga zege, tunasambaza vifaa vya umeme (original), tunachora ramani za umeme, tunafunga madishi ya aina zote, tunakufanyia mchakato wa kukuletea umeme kutoka TANESCO kwa makubaliano maalumu, tunatoa ushauri wa kitaalamu bure na tunafanya kazi popote kwa makubaliano maalumu.

cont: 0753 50 51 15, 0715 50 51 15.
email: mkumbata32@gmail.com.
whattsapp: 0753 50 51 15.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…