Ksuley1411
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 356
- 53
Tungemuelewa kama wangempeleka mahakamani kama akina mramba na yona bila kufanya hivyo ni umbea na uzushi wa kisiasa au siasa za maji taka mbona wakati lowassa amejiuzuru akuyasema hayo alisema ni ajari za kisiasa je tuamini lipi kata ya hayo mawili??
Anamshushia nyundo Lowassa
Punch ya K.O hiyo, kweli Kikwete anaijua siasa, alikaa kimya sikuzote kumbe alikuwa na target zake
screpa;
Kweli mnahitaji msaada sana Kama chama chenyewe hakikuwapa sera wafanyeje?? Walishajieleza kwa wapiga kura, wakajiona hawawavutii sasa si watoke angalao wametukana kidogo huo mwiba wao?? Naunga mkono hoja.
Kesho kutwa waseme,; Kushinda ;limetushinda lakini mitusi tulilitukana. Hapo ngoma droo. CCM hawana sera. Kama si wizi wa kura lichama hili lisingelipata kura 10 Tanzania nzima. Huo ndo ukweli naomba msinichukie
MNAFIKI Tu, Sasa Jipya Lipi Hapo!! Kama Kigezo Cha Kugombea Ni Afya Na Ucheshi!! HEBU MTUAMBIE Wkt Ule Watia Nia Wakichukua Na Kurudisha Form Na Pia Wkt Wa KUMTAFUTA MGOMBEA, Mbona Hatukuona Madaktari Wakiwapima Watia Nia!! Au Mbona Hatukuona Kipengele Cha Kuwataka Watia Nia Kuwasilisha VYETI Vya Kupima Afya!!!?? Aache UONGO!!
Cathode Rays: kwa jina HILO, unapaswa KUWA na bongo za kumlika fikra na kuzitafakari kisha ukazitafakuri kwa usahihi.Kikwete Rais wangu umeniangusha kweli kweli
Mafisadi unawaacha hivi hivi wanadunda kama ulivyofanya wauza dawa za kulevya??
Mbona sheria za nchi yangu haziniambiii watanyimwa kugombea Urais na kusemwa majukwaani??
muxar, soma nilivyomjibu Cathode Rays: urafiki ulimnusuru rafiki, tingatinga litamtingua.Inahuzunisha sana cathode ,Sheria zilizomuweka jela Babu seya zimeshindwa kumweka jela Fisadi?..Sitaki kuamini kama Rais ndo analalamikia jukwaani?Acha awe rais chochote kitakachotokea kitokee..Ntampa kura Lowassa kwa maamuzi magumu ya kukataa chama chenye nguvu,kumkataa rafiki wa muda mrefu JK,Pengine siku moja atafanya maamuzi magumu ya kumpeleka FISADI yeyote mahakamani.
Cathode Rays: kwa jina HILO, unapaswa KUWA na bongo za kumlika fikra na kuzitafakari kisha ukazitafakuri kwa usahihi.
Mafasadi kifo chao kilikuwa siku CCM ilipomteua Magufuri kugombea Urais. Mashabiki wa mafisadi waache waandamane CCM mbele kwa mbele. CCM imejipanga na mwaka huu mafisadi na vyama vyao wataisoma.
Hujachekewa TAFAKARI CHUKUA HATUA
muxar, soma nilivyomjibu Cathode Rays: urafiki ulimnusuru rafiki, tingatinga litamtingua.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Yaani Kikwete safi sana Lowassa Mzee wa Richmond Phantom Co. Huna pakujibu siku zimeisha ndo utajua wewe ni mdogo sana ktk Nchi hii
Yaani Kikwete safi sana Lowassa Mzee wa Richmond Phantom Co. Huna pakujibu siku zimeisha ndo utajua wewe ni mdogo sana ktk Nchi hii
kwahiyo leo raisi wa nchi kama mlalamikaji?tanzania heri ya RWANDA