Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,716
- 1,814
:embarassed2:
Mkakakti wa KUHujumu Uchumi kupitia mgongo wa MIsitu baada ya kumaliza kwenye migodi na umeme
Mhhhh, hii ya kwako inaonekana kali.....kwa hiyo jamaa wanahamia kwenye misitu baada ya kumaliza madini. sasa mbona naskia watu watakuwa wanalipwa lkn miti haikatwi? itakuwa uhujumu kweli huu, hebu fafanua...
MKUHUMI ni Mpango wa Kupunguza Uzalishaji wa Hewa ya Ukaa kutokana na ukataji Miti ovyo na Uharibifu wa Misitu. Habari zaidi unaweza kuzipata hapa TANZANIA REDD INITIATIVE - Home
Wishing you all the best.
Ukitaka ufafanuzi angalia maneno yao wakati wanaanzisha mikakati yao....Utahis ndani ya muda mfupi Tanzania iko peponi
Fuatilia utendaji na matumizi,....vikao, posho, pesa za makalio wanaita seating allowances etc
asante sana mkuu, kwa mawazo yako, unadhani mkuhumi utawafaidisha wananchi wa hali ya chini kabisa?
hilo nalo neno.....posho ya makalio?????