Kaka tuwekee bwanaNaangalia na jinsi watu watakavyokuwa wanazipenda ndivyo nitakavyoziupload
Mkuu embu zi upload hawa jamaa n noma e fm hawakukosea kuwapa nafacHapa utapata vichekesho vya mkude simba kwa kadiri nitakavyokuwa navipata sio mbaya kama nawe unavyo tukashare pamoja
Ingawa sijaangalia profile yako, comment yako inaonyesha wewe Ni wa kike.....kama ukiwa wa kiume Ni hasara....!Jaman ongezeen bhas
Tupia za kutosha mkuu.
Tatzo la Jf mwisho wa kuweka audio ni 20 na kutupia audio humu inagoma kwa new version had nipate apk ile ya old version ndio nitaziuploadKaka ukipost tunaomba uzitenganishe
Maana zinatuchanganya tuna pakua Mara mbili mbili