M Moony JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 1,599 Reaction score 437 May 6, 2012 #1 Ningependa kujua kama Profesa Magembe na Mh. Mkuchika ni wasafi kuliko Nundu. Sielewi kwa nini wao hawajawajibishwa.
Ningependa kujua kama Profesa Magembe na Mh. Mkuchika ni wasafi kuliko Nundu. Sielewi kwa nini wao hawajawajibishwa.
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 May 7, 2012 #2 Ndiyo, niwasafi.
mopaozi JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,300 Reaction score 525 May 7, 2012 #3 Moony said: Ningependa kujua kama Profesa Magembe na Mh. Mkuchika ni wasafi kuliko Nundu. Sielewi kwa nini wao hawajawajibishwa. Click to expand... yeah wao hutumia sabuni ya omo ndo maana ni wasafi wale walikuwa hata kuoga hawaogi
Moony said: Ningependa kujua kama Profesa Magembe na Mh. Mkuchika ni wasafi kuliko Nundu. Sielewi kwa nini wao hawajawajibishwa. Click to expand... yeah wao hutumia sabuni ya omo ndo maana ni wasafi wale walikuwa hata kuoga hawaogi
Kapo Jr JF-Expert Member Joined Jan 31, 2011 Posts 1,004 Reaction score 303 May 7, 2012 #4 Bogus always