Mkosomali aikosoa Serikali ya CCM Bungeni

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
Ngoja niwakumbushe watanzania alichotuambia Mkosamali! Sidhani kama tutafikia hatua hiyo!?!


 
Last edited by a moderator:
Alichokisema jamaa ni sahihi kabisa, hatuna 'realistic budget',tunapotezeana muda tu!
 
Alichokisema jamaa ni sahihi kabisa, hatuna 'realistic budget',tunapotezeana muda tu!
DK MAGUFULI APOKEA KIVUKO KIPYA CHA DAR - BAGAMOYO




Kivuko Cha Dar kwenda Bagamoyo cha Mheshimiwa Magufuli Serikali imelinuwa Kwa pesa za Walala Hoi Shilingi Billioni 8. Kinatoka

Mjini Dar kwenda Bagamoyo kwa karibu masaa 3 kivuko cha zamani kilicho tengenezwa mwaka 1978. Wakati Boti ya Tajiri Bakheresa inayotoka

mjini Dar kwenda Mjini Zanzibar kwa muda wa Saa 1na dakika 30. Boti ya Bakheresa iliyotengenezwa Mwaka 2015 Ameinunuwa kwa shilingi Billioni

6 tu. Je ni kipi kivuko imara na chenye kwenda kwa haraka zaidi? Serikali inatuchanganya akili zetu Serikali yetu ni ya kisanii hakuna mpya

kwenye kivuko cha Mheshimiwa Waziri wa ujenzi Magufuli na kivuko chake kimepitwa na wakati ni wizi wa kimachomacho tu hapo.
 
Last edited by a moderator:
SIWEZI KUSHIRIKI KUIPA KURA MJUKUU WANGU ATANICHEKA SIKU MOJA. nAPENDEKEZA MKOSAMALI APEWE AIR TIME JANGWANI JMOSI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…