Mkorogo

Wanaume wa leo wanataka weupe tatizo hapoo

Ni sawa na hao wanaopenda makalio...basi imekuwa sheeder wanawake wanatafuta makalio kwa kila mbinu...

Wanaume wanachangia yooote

Umeona eeh? Wakiona mweupe full kumtolea mijicho....sa mi niendelee kubaki mweusi ili nigundue nini?
 

ebu acha kutuzalilisha naamin hapa mabint wa jf almost wote tuko natural mm nikiwa wa kwanza anaeping anyoshe mkono. we proud of how black beauty we are.
 
Mm mwenyewe binafsi sifurahii wanawake siku hizi kujikoboa na kuondoa ile ngozi ambayo mungu amekuumbia wewe mwenyewe ulivyo yaani utakuta mtu amejikoboa mpaka anatisha kwanini unamsahihisha mungu kwa uumbaji wake umeona kuwa mungu akufaa kukuumba jinsi ivile ulivyo?

Akina dada wenzangu tubadilikeni jamani tunajiretea kansa ya ngozi wenyewe pls acheni si busara

upande wa pili kwako mwiba

bestito nimekusoma mkuu sijakupatia picha ya wewe jinsi ulivyo sijui kwanini

ila wewe kweli mwiba....................... Ukikuchoma mhm?????????????
 
Duh! unakuta sura nyeupe halafu ------ miguu na mikono myeusiii kama lami ya strabag!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…