Mkorogo

HaHahahahaha...ama kweli hili jambo limekugusa
 
Nyie ndo mnafanya wadada wahahe na mikorogo....kwamfano wew ushasema ni mweusi ukipata demu mweusi tena utakubali???
 
Aiseee unamachaguo mengi
 
yaani waschana wote uliokutana nao Masharik, magharibi, kas na kus wote wametumia mkorogo hakuna hata mmoja mwenye natural colour? Uko mji gani mkuu? Hata huku kwetu wapo ila si wote
Basi karibu watamalizika ni muda tu ,usizani natania ,hii kitu sasa inavua mipaka,mle bungeni kabakia Tibaijuka tu ,ila wale wengine ni sheeedah na balaa ,tatizo huwa wanashindanaga nani zaidi ,mwisho watabaki nyama tupu !
 
Kila mtu na taste yake....
kwangu mwanamke akishakuwa wa kujikwatua sura na uasili wake, baaas...!
Uso una sura yake, mikono na miguu ina rangi yake...aaaah!

Hahaha mshenga skuiz tunapiga deki mwili mzima hutojua...hatujichubui tena tunaita kujing'arisha😉
 
Hakuna kitu najivunia kama weusi wa ngozi yangu na kamwe sitakaaa nikajikoboa
Sasa kujikoboa ndio msamiati gani tena,yaani kumbe hata wenyewe kwa wenyewe mnachimbiana ,nikiwa Raisi nitatangaza kuwa hali hii ni Janga la Taifa.atakejizimua tutamchuna ngozi.
 
Hahaha mshenga skuiz tunapiga deki mwili mzima hutojua...hatujichubui tena tunaita kujing'arisha😉

Tatizo la mikorogo unabidi uwe unapaka kila siku hili ubakie hivyo hivyo mweupe siku vikidunda au ukiacha unakuwa kama papai kijani si kijani njano si njano mweusi si mweusi yani sura inakuwa na rangi zaidi ya tatu yani ni shiiidddddddaaaaa!
 
Hehe..shida ni ukianza kutumia hakuna kuacha na lazima ifike mda idunde...dodo ni mfano mzuri...ila sasa wote tumehamia queen Elizabeth subirini muone feedback itakuaje
 
Sasa kujikoboa ndio msamiati gani tena,yaani kumbe hata wenyewe kwa wenyewe mnachimbiana ,nikiwa Raisi nitatangaza kuwa hali hii ni Janga la Taifa.atakejizimua tutamchuna ngozi.

Kijikoboa kujichubua
 
Tatizo la mikorogo unabidi uwe unapaka kila siku hili ubakie hivyo hivyo mweupe siku vikidunda au ukiacha unakuwa kama papai kijani si kijani njano si njano mweusi si mweusi yani sura inakuwa na rangi zaidi ya tatu yani ni shiiidddddddaaaaa!

Ni kweli kabisa wanakuwa mapakumapaku ,kuna mdada mmoja alikuwa anatumia hizo kitu za kujibadirisha ,sasa alikuwa ni mweusi kama keyboard anaonekana herufi tu kwa maana ya macho ,sasa akatumia ikamkubali sana ,,nywele zake ndogo tu ,nilijuaje alikuwa anavaa kilemba siku anapita karibu na duka la vtabu kuna mti kungulu akajisadia kwa bahati mbaya yakatua juu ya kilemba ,ikabidi avue kilemba ,duh ,uso mzima mweupe pepepe ila masikio ni meusi tititi ,ile hali ilinitokea kwa ghafla ikanijia kicheko ,maana hata wewe ungecheka ,ni balaa ,ndio itakuwa anasahau au hana uelewa kuwa hata masikio yanapaushwa.
 
Kujiremba ni kuzuri sana tu lakini siku hizi wadada wengi ni mkorogo kwa kwenda mbele hadi wamama watu wazima kabisa unakuta mtu kaungua usoni na joto la Darsalamu hafu vipodozi vyenyewe low quality carolight acheni mikorogo madhara makubwa kuliko faida
 
Mnatisha ladies mnaobleach ngozi YAANI frankly mnatisha,Mishipa imetoka nje,wengine urari wa rangi haupo akitoa ili mnaniihii ngozi ilivyo hadi zaka anazima coz ni kitisho...duh,I love natural beauty na waliotunza natural beauty kwenye market ya urembo wamedumu sana e.g
 
Ngozi feki, kucha feki, nywele feki, nyusi feki....daaah aiseee, sipati picha miaka 10 ijayo.
 
Huwa na tetea sana wanawake kwa mambo mengi sana .

Ikija kwenye mkorogo I'm out for good.
 
Hili ni janga la taifa so bora tuu unyamaze...Binadamu wanapenda uzuri, si wanaume si wanawake.
Na si tuu uwaseme wadada wakiafrika....Bali hata haooo Waarabu huwa wanajichubua japo ni weupe wanataka kuwa weupe zaidi.....Baadhi ya Wazungu wanaongezea nywele pia ili zijae..sababu wao wananywele chache.

So yakaisari muachie kaisari...Km umeridhika ulivyo Mshukuru Muumba wako...
Ila I hope wewe hata kucha hujabandika, Dawa ya nwele hujaweka... wala kujibadili chochote.......Maana usijekuta unanyosha kidole kimoja then vingine vyoote vyakuelekea wewe

Wanaume wa leo wanataka weupe tatizo hapoo

Ni sawa na hao wanaopenda makalio...basi imekuwa sheeder wanawake wanatafuta makalio kwa kila mbinu...

Wanaume wanachangia yooote

Nyie ndo mnafanya wadada wahahe na mikorogo....kwamfano wew ushasema ni mweusi ukipata demu mweusi tena utakubali???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…