Jamani mi nipo interrior Lindi Ruangwa, Naombeni msaada jinsi ya kuapply mkopo wa chuo kwa wenzangu mliopo mjini, nimesikia mwisho june 30 na mie nataka nicheki zali langu..