wamesha update majina Jana tafadhali jaribu kuyaangalia tena kwenye tovuti yaohabari zenu
wadau wa elimu na wote wenye uelewa juu ya hii mikopo ya heslb ,nina rafiki angu amemaliza form four mwaka 2009 akaenda elimu ya kati hadi diploma na alipoomba mkopo alichaguliwa batch ya kwanza SUA lkn yalipotoka majina ya loan allocation la kwake halipo kabisa, sasa naomba kama kuna mtu anaweza kua anauelewa na hili wadau maana hapa ni kituo cha wasomi Ahsanteni
Ela utakayopewa mkononi (ukiwa chuo) inaitwa meals and accommodation maana yake ni ela ya chakula na malazi, utatumia kula na kulipa hostel. Hela hii ndio huitwa boom.hivi huo mkopo wanakulipia hadi hostel au unalipa mwenyewe ? mwenye uelewa tafadhali
Ela utakayopewa mkononi (ukiwa chuo) inaitwa meals and accommodation maana yake ni ela ya chakula na malazi, utatumia kula na kulipa hostel. Hela hii ndio huitwa boom.
Ela ya ada hutapewa italipwa moja kwa moja na heslb kwenye akaunti yq chuo unachosoma
Yes unalipa kwa hela yako mwenyewe alafu boom likitoka unajilipa.Sasa inakuaja kwa yule ambae ndo kwanza anaripot ajalishika hilo boom je si itabidi alipe kwa hela yake mwenyewe ?
Yes unalipa kwa hela yako mwenyewe alafu boom likitoka unajilipa.
Kama ni UDSM kuna wale wanaotaka kubebea room ukipata msitaarabu analipa then boom likitoka mnayajenga namna ya kugawana gharama za chumba
Mbn kama uevaa uhusika sana mwishoni...mwanzo umeonesha unamuilizia mtu,lkn maswali uliyouliza mbeleni yanaonesha wew ndie muhusika mkuu na hofu unayo kubwa...mficha maradhi kifo humuumbua....
Back to the point,huyo mtu aende bodi mara moja maana wanasheriabzao flan nantaratibu flan,miaka michache hapo nyuma ilitokea watu waliona majina yao ktk wanufaika na baadae wakati wa allocation wakakosa majina yao walipoenda wakaambiwa mkopo unatoka kwa waliomaliza form4 miaka mi3 nyuma tu...baadae jamaa wali appeal wakapata ila ilikua baadae.
So kwa wew ulomaliza form4 miaka 9 nyuma mmmh sijui...fika bodi haraka
Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kuelewa kilichoandikwa.habari zenu
wadau wa elimu na wote wenye uelewa juu ya hii mikopo ya heslb ,nina rafiki angu amemaliza form four mwaka 2009 akaenda elimu ya kati hadi diploma na alipoomba mkopo alichaguliwa batch ya kwanza SUA lkn yalipotoka majina ya loan allocation la kwake halipo kabisa, sasa naomba kama kuna mtu anaweza kua anauelewa na hili wadau maana hapa ni kituo cha wasomi Ahsanteni
habari zenu