lameck luck junior New Member Joined Oct 19, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Oct 21, 2017 #1 Samaha jaman sielew napata vp taarfa za mikopo
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 11,788 Reaction score 15,406 Oct 21, 2017 #2 ingia kwenye akaunti yako ya bodi ya mkopo.....kama ulikuwa na multiple admission vuta subira. kama hukuwa na multiple na umekosa andikia maumivu..
ingia kwenye akaunti yako ya bodi ya mkopo.....kama ulikuwa na multiple admission vuta subira. kama hukuwa na multiple na umekosa andikia maumivu..
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Oct 21, 2017 #3 LIMBOMAMBOMA said: ingia kwenye akaunti yako ya bodi ya mkopo.....kama ulikuwa na multiple admission vuta subira. kama hukuwa na multiple na umekosa andikia maumivu.. Click to expand... mkuu ata haujui kumfariji MTU, utawaua wengine kwa presha
LIMBOMAMBOMA said: ingia kwenye akaunti yako ya bodi ya mkopo.....kama ulikuwa na multiple admission vuta subira. kama hukuwa na multiple na umekosa andikia maumivu.. Click to expand... mkuu ata haujui kumfariji MTU, utawaua wengine kwa presha