MKOPO WA SAMANI KWA WATUMISHI

MKOPO WA SAMANI KWA WATUMISHI

chichiboy1

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
1,413
Reaction score
1,910
Habari za kutwa wana forum. Kwa yeyote anayefahamu kampuni/duka linaloruhusu mkopo wa samani za nyumbani kwa watumishi wa umma naomba anifahamishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za kutwa wana forum. Kwa yeyote anayefahamu kampuni/duka linaloruhusu mkopo wa samani za nyumbani kwa watumishi wa umma naomba anifahamishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli sijui. Lakini unauhakika wa kuweza kulipa hilo deni? Maana tuendako yawezekana mishahara hisitoke kwa wakati
 
Back
Top Bottom