Wakuu, mimi nina Gari yangu Toyota Spacial Old medel, Hii gari inadaiwa na mtu Tsh Laki sita .
Sasa nilikuwa nataka mtu anikopeshe hizo laki sita then nimwachie gari afanyie biashara yake yoyote ambayo atapata faida ya milion moja then anirudishie gari yangu.
Tuandikishiane kila kitu kwa wakili au mahakamami.
Yoyote ambae anaweza kunisadia kwa ilo anipm.

Nipo tayari ila call me 0713519111
KUwa smart kwenye mkataba gari yaweza ibiwa ikiwa mkononi mwako
Halafu ukapata kesi:deni mpyaaa
Huu ni mji:smokin: