mkopo wa haraka...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mkopo wa haraka......

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mysteryman, Jun 6, 2012.

 1. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mysteryman 18:53 Today
  wakuu ninahitaji mkopo wa milion
  moja wenye riba nafuu.....nitarejesha
  baada ya miezi minne na uwezo
  wangu au riba isizidi laki tatu kwa
  miezi yote minne.....nina kiwanja kipo
  kinyerezi, kadi ya gari au leseni na tin
  namba ya biashara.....vyote vyaweza
  tumika kama bondi.......mwenye
  uwezo wa kunisaidia tafadhali......
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  gari aina gani, ya mwaka gani
   
 3. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  yaan m2 anayetaka mkopo wa mil.1 ndo unamuuliza hadi gar ya aina gan?kaz kwelkwel
   
 4. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  corola e100 ....
   
Loading...